

Lugha Nyingine
画廊周呈现当代艺术最强阵容
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2025
![]() |
Watembeleaji maonyesho wakijaribu usafiri katika mfumo wa kizazi kijacho wa chumba cha madereva cha teknolojia ya AI ulioanzishwa kwenye msingi wa muundo mkubwa wa StepFun kwenye Mkutano wa AI Duniani 2025 huko Shanghai mashariki mwa China, Julai 27, 2025. (Xinhua/Fang Zhe) |
Mkutano wa AI Duniani 2025 umeanza kufanyika huko Shanghai, Mashariki mwa China juzi Jumamosi, Julai 26. Mkutano huo unaonyesha maendeleo mapya zaidi ya teknolojia ya AI duniani, wakati huohuo ukitoa jukwaa kwa watembeleaji maonyesho kupata bidhaa na teknolojia za AI.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma